JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

SHAJARA 6/9

Ijumaa, nilijifunza kuhusu wanyama darasani. Ilinikumbusha nilipokuwa mtoto, nilipenda simba na duma. Duma wanaweza kukimbia haraka. Kwa hivyo nilitaka kukimbia kama duma wanavyokimbia. Ninafurahi kwenda Kenya na kuona duma wanaokimbia.

Jumamosi asubuhi, tulijifunza kuhusu Kenya. Tulijua tutaweza kutumia LINE nchini Kenya, kama tunavyotumia LINE nchini Japani. Nataka kutumia LINE na rafiki zangu wote hapa. Kwa sababu lazima tuondoke hapa NTC mwezi huu.

Jumamosi usiku, wazee wa kujitolea wa NTC walienda Dake Onsen, Ebisuya. Na tulikuwa na karamu. Baada ya karamu, mpishi wa Ebisuya alitupeleka kwa NTC. Alipotupeleka kwa NTC, alisema alifurahi kukutana na kujitolea wa NTC. Kwa sababu kujitolea wa NTC wana ndoto.

Mzee wa kujitolea wa NTC alisema hawezi kukumbuka chochote kipya.(Mimi pia.) Lazima tukumbuke tena na tena. Kwa hiyo, bora tujifunze mambo mengi, tulipokuwa vijana. Mwalimu wa JICA alituambia, ``Ukikumbuka kitu takriban mara kumi na saba, utaweza kukumbuka kitu hicho.''    

On Friday, I learned about animals in the classroom. It reminded me when I was a child, I loved Lion and Duma. Duma can run quickly. So I wanted to run as cheetahs running. I am happy to go to Kenya and see the cheetah running.

On saturday morning, we learned about Kenya. We knew we could use LINE in Kenya, as we use LINE in Japan. I want to use LINE with all my friends here. Because we have to leave NTC this month.

On Saturday night, NTC elderly volunteers went to Dake Onsen, Ebisuya. And we had a party. After the party, Ebisuya's chef sent us to NTC. When he sent us to NTC, he said he was happy to meet the volunteers of NTC. Because NTC volunteers have a dream.

An elder volunteer said "I can't remember anything new".(Me too.) So, we must remind again and again. So, we had better learn many things, when we were young. A teacher of JICA said "If you remember something about 17 times, you will be able to remember it.''

Dake Onsen, Ebisuya ↑ What a cost-friendry shop this is!