Nitakwenda Kenya kufundisha elimu ya Sayansi. Ninataka kuonyesha majaribio mazuri kwa walimu wa Kenya na Kiafrika. Kwa sababu ninapofundisha Sayansi, wanafunzi wote wanapenda majaribio sana. Ninataka kufanya kazi wanafunzi wa Kiafrika wanavyoanza kupenda Sayansi.
Ijumaa, tulikwenda karibu na Ngome ya Nihonmatsu. Hapa kuna Nihonmatsu Johokan. Tulifundeshwa kuhusu Ngome ya Nihonmatsu na wafanyakazi wa Nihonmatsu Johokan. Ngome ya Nihonmatsu ilijengwa na Bwana Hatakeyama mwaka elfu moja na mia nne na kumi na nne. Lakini hii ilichomwa mwaka elfu moja na mia nane na sitini na nane.
Leo kuna mvua. Sasa ni Juni. Nimefikiri siku tutapoondoka hapa NTC. Ninachoka kila siku. Lakini watu wote hapa ni wema sana. Kwa hivyo nimefurahi hapa. Nimefikiri "Wao ni watu wa kujitolea!"
I will go to Kenya to teach Science education. I want to show good experiments to Kenyan and African teachers. Because when I teach Science, all the students like experiments very much. I want to work as African students begin to love Science.
Friday, we went near Nihonmatsu castle. Here is the Nihonmatsu Johokan. We were taught about Nihonmatsu castle by the staff of Nihonmatsu Jouhoukan. Tulijuaa Nihonmatsu castle was built by Mr. Hatakeyama in 1414. But this was burned in 1868.
It's rainy today. It's June now. I thought about the day we would leave here at NTC. I'm tired every day. But all trainee here were very kind. So I was happy here. I thought "they are truly volunteers!"
The way from NTC to Dake Onsen ↑