JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

KUJITAMBULISHA(SELF-INTRODUCTION)Ⅱ

1 Elezea kwanini ulikuja hapa NTC na eleza maisha yako ya kila siku katika NTC kwa ufupi. → Nilikuja hapa NTC kwa sababu ya kujifunza kiswahili, na kila siku ninajifunza kiswahili na kuhusu Kenytikaa. (Baada ya mafunzo katika NTC, ninataka kujifunza Kiingereza.)

2 Je utafanya nini baada ya kufika Kenya? (Elezea kuhusu kazi yako na mahali utakupoenda.) → Baada ya kufika Kenya, nitaenda CEMASTEA(Centre for Mathematics, Science and Technology Education in Africa) Nairobi, kufundisha elimu ya sayansi kwa walimu wa Kenya na Afrika.

1 Explain why you came here to the NTC and explain your daily life in the NTC briefly.→ I came NTC for the sake of learning Swahili, and I learned Swahili and about Kenya every day. (After training at NTC, I want to learn English.)
2 What will you do after you arrive in Kenya?(Explain about your job and where you are going.)→After I will arrive in Kenya, I will go to CEMASTEA (Centre for Mathematics, Science and Technology Education in Africa) to teach science education to Kenyan and African teachers.

Today's lunch 6/13 ↑