JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

volunteer

SHAJARA 5/25

Alhamisi, Rafiki yangu ametufundishia kuhusu Meisou. Tumejaribu Meisou. Tunaweza kupunguza msongo wa mawazo(stress) kwa Meisou. Ninaanza Meisou leo nilipojifunza Meisou. Ijumaa, tumekula chakula cha mchana cha Kiafrika. Hatukupenda supu ya…

SHAJARA 5/22

Jumapili, nilirudi Nihonmatsu. Kuna watu wengi karibu na kituo cha Nihonmatsu. Sielewi kwa nini kuna watu wengi. Halafu nilirudi NTC jioni. Jumatatu, Kulikuwa na mvua. Tulijifunza Kiswahili chini ya paa. Baada ya kujifunza Kiswahili, nilia…

SHAJARA 5/19

Jumamosi, nilipanda basi kutoka Dake Onsen asubuhi. Hakuna mtu mwingine ndani ya basi. Halafu nilirudi nyumbani kwangu kwa treni kutoka Nihonmatsu. Nyumbani kuna mke wangu na kasuku. Kasuku aliniambia "habari ya mchana". Nilimjibu "nzuri s…

SHAJARA 5/18

Siwezi kuandika shajara vipia. Kwa sababu nijifunza Kiswahili, na sifanyi kitu kingine chochote kila siku. Lazima nifanye kitu kipya. Daktari Kato ametufundisha kuhusu UViKo19. Nimetaka kulala, lakini nimesikiliza kuhusu UViKo19. Kwa sabab…

SHAJARA(DIARY)

Nilikwenda kuogelea tena. Watoto wengi waliogelea katika Shiroyama pool. Niliogelea kwa muda wa saa moja. Baada ya kuogelea, nilirudi NTC kwa basi na miguu. Ilichukua muda wa saa moja. Siwezi kuandika shajara vipia. Kwa sababu nijifunza Ki…

THIS WEEK

Ni lazima nijifunze Kiswahili chumbani wangu leo pia. "Wale watu waliokuja jana ni wazazi wangu.", "Umwone mtu yule atakayekwenda Tnazania.".... Kiswahili zangu si polepole. Tulijifunza kuhusu Kenya. Lazima nijaribu kukutana na Wakenya wen…

RETURNING TO NTC

Leo ni tarehe tano mwezi wa tano, Jumapili. Nilianza kujifunza Kiswahili nyumbani saa kumi na moja na nusu asubuhi. Nilirudi NTC kwa gari muchana. Inachukua muda wa masaa mawili. Na nilijifunza Kiswahili tena. Today is the fifth day of the…

HOMECOMING

Leo ni tarehe nne mwezi wa tano, Jumamosi. Nilikwenda nyumbani kwa treni. Inachukua muda wa masaa matatu kutoka NTC mpaka kituo cha Utsunomiya. Nauli ni Yeni elfu tano na mia mbili na themanini. Na nilijifunza Kiswahili tena. Today is the …

LEO ILIKUWA TAREHE NGAPI?

Leo ilikuwa tarehe tatu mwezi wa tano mwaka elfu mbili na ishirini na nne. Leo ni Ijumaa. Nilianza kuandeka shajara huyu saa moja kamili jioni. Nilijifunza Kiswahili kwa muda wa masaa kumi na mbili leo. Na nitasahau Kiswahili kesho. Kwa he…

UMEAMKAJE?

Our Swahili class have started. We take classes for 5 hours every day. Our teacher speaks in English. So we have to listen carefully. A:Umeamkaje?(Hello) B:Salama!(Hello) ume↑

SHIROYAMA PUBLIC POOL

I went to Shiroyama public pool in Nihonmatsu city. The pool was clean and equipped with hot showers and hair dryers. And it was a pool where children could play.

SWAHILI TEST

Swahili E-Learning was tested. Memorizing words was hard for me. Jumatatu Jumanne Jumatano Alhamisi Ijumaa Jumamosi Jumapili (Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sunday) How do you memorize them? The Swahili class consists of…

LONG DAY

Orientation started yesterday. We 164 students introduced ourselves for two hours. It was a long day.

JICA NIHONMATSU

I arrived at Nihonmatsu City. I will start studying Swahili here. I will study with 164 people. Half of them are teachers. I am going to Kenya on August 20.

SWAHILI HOMEWORK

I introduce my homework. Now it's easy for me. I will go to Nihonmatsu City on April 16 to learn Swahili. JIBU MASWALI (ANSWER THE QUESTIONS) 1. Jina lako nani? (What's your name?) Jina langu ni Taro Urashima. (My name is Taro Urashima.) 2…

ASANTE(THANK YOU), K HIGH SCHOOL!

Today I finally finished moving out.I was able to make my room cleaner than when I came here.Asante(Thank you), K High School!

LEARNING "SWAHILI"

Hujambo? (Hello.) Jina langu Taro. (My name is Taro.) Mimi Mjapani. (I'm a Japanese.) Mimi mwalimu. (I'm a teacher.) From April to July next year, I will go to Nihonmatsu City to learn Swahili. And then I will go to Nairobi city, Kenya. En…

I PASSED!

I passed! I will join the Senior Overseas Cooperation Volunteers 2024 as a first round member.This year I had a request that matched mine,So I got permission from the school board to take a leave of absence for two years and I had taken th…

JICA SENIOR VOLUNTEERS

JICA senior volunteers were announced today. I decided not to apply for JICA volunteers this year. This is because there are no volunteers that I really want to go to. I intend to apply for a JICA volunteer three years later.

WAIT A MINUTE, JICA

I'm really enjoying my class now. The students are very friendly. Recently, I have come to think that I don't want to go to volunteer yet. Maybe I will go when I am 60. Wait a minute, JICA.

JICA VOLUNTEER 2023

I have been appointed to be in charge of the first-year homeroom teacher from April. I am looking forward to being a first-year homeroom teacher. On the other hand, I feel that I am not contributing much to the school now. So I have decide…

I'LL DO MY BEST TO SUPPORT AFRICA

I no longer feel like trying hard for a common exam that no one can solve. I am now going to try my best to do something useful to support education in Africa!

I WANT TO RETURN TO WORK AT 63

Since the retirement age is now 63, let's do JICA volunteer work between the ages of 61 and 62, and then return to work at 63.

HARUMAKI IN LAOS

Twenty-one years ago, I bought some Harumaki from a street stall in Thailand and it was excellent. I still can't forget it. I was told it was Laos Harumaki. I want to sell it at a street stall in Africa. Relaxing with my family.