JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

Entries from 2024-06-01 to 1 month

ST.IGNATIUS CHURCH IN YOTSUYA, TOKYO

Wakati wa mafunzo katika NTC, kulikuwa na vikundi vingi vya LINE. Kikundi cha maisha, Madarasa ya Lugha, Kikundi cha Kiswahili, Kikundi cha Kenya, Kikundi cha Wazee, Kikundi cha viongozi wa Timu. Kulikuwa na habari nyingi. Lakini, leo, hak…

THE ONES WE REALLY WANTED TO BE WITH

Usiku wa mwisho wa NTC, nilizungumza na wanawake wawili, mwalimu wa shule ya sekondari Fukuoka na mwalimu wa shule ya msingi Toyama, hadi taa ilipozima. Sasa ninapofikiria juu yake, watu hawa ndio tulitaka kuwa nao, sio tu juu ya uso. On t…

RETURNING HOME

After the last speaking test (last week), my teacher said to me, "Need". I was disappointed because I thought it meant I should study more. But today, when we were leaving NTC, my teacher said to me the same thing again. My friend nearby q…

KWAHERI NTC

6/27 Hatimaye, tunaondoka NTC. Sitaki tena kusoma masomo ya Kiswahili katika NTC, lakini kama ningeweza, ningetana kukutana tena na watu wa kujitolea. Kwaheri NTC, asante Nihonmatsu! 6/27 Finally, we leave NTC. I no longer want to study K…

SHAJARA 6/26

Nilipokea beji ya JICA. Tunavaa beji hii wakati wa kujitolea. Ni beji tu, lakini ni beji muhimu. Jioni, kulikuwa na sherehe ya kuaga katika NTC. Tulikuwa na bia na walimu na wageni. Hotuba ya mbunge ilikuwa nzuri sana. I received a JICA ba…

SHAJARA 6/25

Jumanne, tumehitimu darasa la Kiswahili. Kwa hivyo saa moja usiku, nilikwenda tena Yorozuya. Yorozuya Kulikuwa na wakujitolea wengi. Tulianza na "Yorozuya" na tulimaliza na "Yorozuya". ”Yorozuya" ilikuwa mecca kwa wanafunzi wa NTC. On Tues…

SHAJARA 6/23

Rafiki yangu ambaye anazeeka hakufaulu mtihani na alienda nyumbani. Kwetu sisi mtihani huu ulikuwa vita dhidi ya umri. Sisi wazee tuna huzuni sana. Lakini ninataka kila wakujitolea aweze kwenda nyumbani na tabasamu mwishoni. Kwa sababu tun…

SHAJARA 6/22

Kwa Mwalimu 〇〇〇〇〇〇〇 Ninahitaji kujifunza Kiswahili na Kiingereza, kwa hivyo ninafurahi nilisoma katika darasa hili. Sikufikiri ninaweza kuandika Kiswahili kingi kwa muda wa miezi miwili. Asante sana. Kazi ya nyumbani ya leo ni hii. …

SHAJARA 6/21

Tumefanya mtihani wa mwisho leo. Mtihani wa kuzungumza na kusikiliza haukuwa rahisi. Nilikatishwa tamaa. Ninasingefaulu mtihani, ningepokea barua pepe kutoka kwa JICA. Nilifaulu mtihani. Lakini rafiki yangu ambaye anazeeka hakufaulu mtihan…

KUJITAMBULISHA(SELF-INTRODUCTION)Ⅲ

Nini maana JICA kwa Kiswahili? → JICA Inasaidia watu wa(wanaoishi) nchi zinazoendelea. Na JICA inainatusaidia kuelewana na nchi nyingine. (Japani ni nchi zilizoendelea) What does JICA mean in Kiswahili? → JICA helps the people of developin…

SHAJARA 6/20

Nilikuwa mwalimu katika shule ya upili ya wasichana kwa miaka 16, kwa hivyo nilifundisha soka ya wasichana kwa muda mrefu. NIlitengeneza timu, nilipanga mazoezi kila siku, nilipanga mechi kila wiki, na nyakati fulani niliendesha basi kwend…

SHAJARA 6/16

Jumapili, tulienda katika mgahawa Dake Onsen. Inaitowa "Sora no niwa". Una maana "bustani ya mbinguni". Kama jina linavyomaanisha, hii ni bustani nzuri kama tunavyokula angani. Bila shaka, vyakula na kahawa vilikuwa vitamu sana. Hii ni moj…

SHAJARA 6/15

Ijumaa, wakujitolea wote walikwenda Akasaka,Tokyo kwa basi. Tulitiwa moyo na Bwana 〇〇〇〇〇〇〇 na Bibi 〇〇. Dereva wa basi si mmoja. Madereva wawili wa basi waliendesha basi kwa zamu. Kiasi gani? Nilielewa kodi zetu zinatumiwa na nchi …

SHAJARA 6/14

Ijumaa, Wajitolea wote walikwenda Akasaka,Tokyo kwa basi. Tulitiwa moyo na watu wa siri. Hii ni siri, kwa hivyo siwezi kuandika hapa. Tafadhali fikiria tu. Tafadhali. Kulikuwa na joto jijini Tokyo leo. Nilikuwa mwangalifu nisije nikaumwa n…

KUJITAMBULISHA(SELF-INTRODUCTION)Ⅱ

1 Elezea kwanini ulikuja hapa NTC na eleza maisha yako ya kila siku katika NTC kwa ufupi. → Nilikuja hapa NTC kwa sababu ya kujifunza kiswahili, na kila siku ninajifunza kiswahili na kuhusu Kenytikaa. (Baada ya mafunzo katika NTC, ninataka…

SHAJARA 6/9

Ijumaa, nilijifunza kuhusu wanyama darasani. Ilinikumbusha nilipokuwa mtoto, nilipenda simba na duma. Duma wanaweza kukimbia haraka. Kwa hivyo nilitaka kukimbia kama duma wanavyokimbia. Ninafurahi kwenda Kenya na kuona duma wanaokimbia. Ju…

KUJITAMBULISHA(SELF-INTRODUCTION)

0 Hamjambo?1 Unaitwa nani? (Jina lako ni nani?) → Jina langu ni Taro Urashima.2 Unatoka wapi katika Japani? → Ninatoka Tochigi katika Japani.3 Unafanya kazi gani? → Ninafanya kazi ya ualimu. Nilifundisha sayansi kwa miaka 33. Ninapenda kuo…

SHAJARA 6/5

Jumatano usiku, tulikuwa na tamasha la NTC. Rafiki yangu alicheza kinanda. Tuliimba "Gunjou" kama jinzi tulivyofanya mazoezi. Watu wote hapa wametusikiliza "Gunjo" vizuri. Watu wote hapa ni wema sana. On Wednesday night, we had the NTC fes…

SHAJARA 6/2

Jumamosi, nimerudi Utsunomiya tena. Leo timu ya mpira ya shule yangu ilishindwa. Mechi hii ilikuwa muhimu. Nikienda uwanjani, nitawaona wanafunzi. Lakini sijaenda. Kwa sababu mimi si mwalimu sasa. Jumapili, tulikula Sushi. Mpishi alitupiki…

SHAJARA 6/1

Nitakwenda Kenya kufundisha elimu ya Sayansi. Ninataka kuonyesha majaribio mazuri kwa walimu wa Kenya na Kiafrika. Kwa sababu ninapofundisha Sayansi, wanafunzi wote wanapenda majaribio sana. Ninataka kufanya kazi wanafunzi wa Kiafrika wana…