0 Hamjambo?
1 Unaitwa nani? (Jina lako ni nani?) → Jina langu ni Taro Urashima.
2 Unatoka wapi katika Japani? → Ninatoka Tochigi katika Japani.
3 Unafanya kazi gani? → Ninafanya kazi ya ualimu. Nilifundisha sayansi kwa miaka 33. Ninapenda kuogelea. Niliogelea kila siku.
4 Utapelekwa na JICA wapi? → Nitapelekwa na JICA Kenya. 5 Utaenda lini? → Nitaenda tarehe ishirini mwezi wa nane mwaka huu.
6 Utaenda kufanya nini? → Nitaenda kufundisha elimu ya sayansi.
7 Utakaa huko kwa muda gani? → Nitakaa huko kwa (muda wa) mwaka mmoja na miezi minane.
8 Utarudi lini? → Nitarudi tarehe ishirini mwezi wa tatu mwaka elfu mbili na ishirini na sita (miaka miwili ijayo).
0 Hello.
1 What is your name? → My name is Taro Urashima.
2 Where are you from in Japan? → I am from Tochigi, Japan.
3 What do you do? → I work as a teacher. I taught science for 33 years. I like to swim. I swam every day.
4 Where will JICA send you? → I will be sent by JICA to Kenya.
5 When will you go? → I will go on 20/8/2024.
6 What will you do? → I'm going to teach science education.
7 How long would you stay? → I will stay there for one year and eight mouths.
8 When will you return? → I will return on 20/3/2026.
6/5 Kitchen lesson. These are Tanzanian pilaf and my teacher ↑.