JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

SHAJARA 5/27

Jumamosi usiku, tuliimba "Gunjou." Huu ilitengenezwa na mwalimu wa Fukushima. Tutaimba huu pamoja tena tarehe nne mwezi wa sita. Ninafurahi kuwa na shajara ambayo niliweza kuandika.

Mbayuwayu (Swallow) walikuja Nihonmatsu Aprili.  Kuna mbayuwayu wengi hapa Nihoumatu sasa. Mbayuwayu wanakula wadudu kwa ajili yetu. Tunawapea nyumba. Tunakaa pamoja. Na mbayuwayu watarudi Septemba.

On saturday night, we sang "Gunjou (群青) ." "Gunjou" is made by a teacher in Fukushima. We will sing together "Gunjou" again on 6/4. I'm happy to have diary that I was able to write.

Kumeza (Swallows) came to Nihonmatsu in April. There are many swallows here in Nihoumatu now. They eat insects for us. We give a house for them. We live together. And swallows will return in September.

"Gunjou" ↑

Swallow in Nihonmatsu ↑