Jumamosi, nilipanda basi kutoka Dake Onsen asubuhi. Hakuna mtu mwingine ndani ya basi. Halafu nilirudi nyumbani kwangu kwa treni kutoka Nihonmatsu. Nyumbani kuna mke wangu na kasuku. Kasuku aliniambia "habari ya mchana". Nilimjibu "nzuri sana." Jumapili, nilirudi Nihonmatsu. Kuna watu wengi karibu na kituo cha Nihonmatsu. Nilirudi NTC jioni.
On Saturday, I took the bus from Dake Onsen in the morning. There is no one else in the bus. Then I went back to my home by train from Nihonmatsu. There is my wife and a parakeet at home. The parakeet told me "good afternoon". I replied him "very good." Sunday, I returned to Nihonmatsu. There are many people around Nihonmatsu station. I returned to NTC in the evening.
Dake Onsen ↑