Jumanne, tumehitimu darasa la Kiswahili. Kwa hivyo saa moja usiku, nilikwenda tena Yorozuya. Yorozuya Kulikuwa na wakujitolea wengi. Tulianza na "Yorozuya" na tulimaliza na "Yorozuya". ”Yorozuya" ilikuwa mecca kwa wanafunzi wa NTC.
On Tuesday, We have graduated from the Kiswahili class. So at seven o'clock in the night, we went to "Yorozuya" again. In Yorozuya there were many traineers. We started with "Yorozuya" and ended with "Yorozuya". "Yorozuya" was a mecca for NTC trainees.
”Yorozuya" ↑