JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

SHAJARA 6/21

Tumefanya mtihani wa mwisho leo. Mtihani wa kuzungumza na kusikiliza haukuwa rahisi. Nilikatishwa tamaa. Ninasingefaulu mtihani, ningepokea barua pepe kutoka kwa JICA.

Nilifaulu mtihani. Lakini rafiki yangu ambaye anazeeka hakufaulu mtihani na akaenda nyumbani. Mtihani huu ulikuwa vita dhidi ya umri. Sisi wazee tunasikitika sana. Kama angejua hili lingetokea, asingejitolea. Katika siku zijazo, idadi ya waombaji wakuu itapungua.

Ijumaa, tulikuwa na karamu ya kikundi cha kwanza. Halahu tulienda katika uwanja wa NTC na kutazama nyota. Hivi karibuni, kila kujitolea wataenda ulimwenguni kote kama nyota angani. Lakini tuliamua kukutana tena siku moja. 

We had the final exam today. The speaking and listening test was not easy. I was disappointed. If I didn't pass the exam, I would receive an email from JICA.

I passed the test. But my friend failed the exam and went home. This test was a battle against age. We seniors feel so sad. If he knew this would happen, he would not have volunteered. There will probably be fewer senior applicants in the future.

Friday, we had a party for group one. Then we went to the ground in NTC and looked at the stars. Soon, every trainees will go around the world as a star in the sky. But we decided to meet again someday.

6/21 Farewell party for Group one. ↑