Nilipokea beji ya JICA. Tunavaa beji hii wakati wa kujitolea. Ni beji tu, lakini ni beji muhimu.
Jioni, kulikuwa na sherehe ya kuaga katika NTC. Tulikuwa na bia na walimu na wageni. Hotuba ya mbunge ilikuwa nzuri sana.
I received a JICA badge. We wear this badge during our volunteer period. It's just a badge, but it's an important badge.
In the evening, there was a farewell ceremony at NTC. We had beer with teachers and guests. The speach of Member of Parliament was very good.
JICA's badge ↑ Farwell ceremony ↑