JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

SHAJARA 5/18

Siwezi kuandika shajara vipia. Kwa sababu nijifunza Kiswahili, na sifanyi kitu kingine chochote kila siku. Lazima nifanye kitu kipya.

Daktari Kato ametufundisha kuhusu UViKo19. Nimetaka kulala, lakini nimesikiliza kuhusu UViKo19. Kwa sababu rafiki yangu ana UViKo19 sasa. Amelala chumbani.

Tunaonana kila asubuhi. Inaitwa "Asa no tsudoi". Tunasikiliza hadithi na tunaimba nyimbo. Inaanza saa mbili na katika kumi asubuhi. Nisimwambie rafiki yangu wakati huo.

How can I write a diary? Because I learn Kiswahili, but I don't do anything else every day. I have to do something new.

Doctor Kato has taught us about Covid-19. I want to sleep, but I have heard about Covid-19. Because my friend has Covid-19 now. He is sleeping in the room.

We see each other every morning. It is called "Asa no tsudoi". We listen to stories and sing songs. It starts at 8:10. I shouldn't tell my friend during that time.

Dake Onsen ↑