JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

THIS WEEK

Ni lazima nijifunze Kiswahili chumbani wangu leo pia. "Wale watu waliokuja jana ni wazazi wangu.", "Umwone mtu yule atakayekwenda Tnazania."....  Kiswahili zangu si polepole.  

Tulijifunza kuhusu Kenya. Lazima nijaribu kukutana na Wakenya wengi. Ninapenda wanyama sana. Kwa hiyo nitafurahi kwenda Kenya sana.  

Tulikwenda kunywa bia katika Dake Onsen.  Nilifurahi kula vyakula vitamu katika chumba safi. Nilikuwa na rafiki wapya. Dake Onsen ni karibu sana. Kwa hiyo tutakwenda kwa miguu. Itachukua muda wa dakika ishirini na tano.

Alhamisi, tulijifunza Kiswahili kwa Zoom. Na nilirudi chumbani kujifunza Kiswahili mwenyewe. Ninapenda kunywa kahawa. Kwa hiyo nilikunywa kahawa na nilijifunza Kiswahili tena.

I have to learn Swahili in my room today as well. "Those people who came yesterday are my parents", "Look who's going to Tanzania".... My Swahili is not slow.

We learned about Kenya. I have to try to meet more Kenyans. I like animals very much. So I would love to go to Kenya.

We went for a beer at the Dake Onsen. I enjoyed eating delicious food in a clean room. I had new friends. Dake Onsen is very close. So we will go on foot. It will take twenty-five minutes.

On Thursday, we learned Swahili through Zoom. And I went back to my room to learn Swahili by myself. I like to drink coffee. So I drank coffee and went back to learning Swahili.

My textbook ↑