Kulikuwa na jua leo. Jua lilikuwa moja kwa moja juu yangu. Nilihisi niko kwenye ikweta.
Nilikula nyama choma ya Kuku, pilau na ndizi. Katika nchi jirani (Uganda), ndizi ni chakula kikuu. Ndizi hii ilikuwa na ladha ya viazi.
It was sunny today. The sun was directly above me. I felt that I was on the equator.
I ate grilled chicken, pilaf and banana. In the neighboring country (Uganda), banana is a staple food. This banana tasted like potato.
Nyama choma(chicken) set ¥400 ↑