Nilipata e-tikiti ya kwenda Kenya. Ni yen 205,000. Hii inalipwa na ushuru wetu. Asanteni sana. Leo nimemaliza darasa la Kiswahili online. Mwalimu wangu (anayeishi Kenya) alinitumia ujumbe akisema "Wakati mwema!" Asante, mwalimu, na kwaheri!
I got a e-ticket to Kenya. It is 205,000 yen. This is paid for by our taxes. Thank you all very much. Today, I finished my online Swahili class. My teacher (who lives in Kenya) sent me a message saying "Have a good time!" Thank you, teacher, and goodbye!
This is my e-ticket ↑