JAPANESE SCIENCE TEACHER'S BLOG

日本人理科教師のブログ

NYAMA CHOMA

Hii ni seti ya "Nyama Choma". Nyama choma ni nyama maarufu ya kukaanga. Tumeweza kula leo. Unafikiri bei gani? Ni yen 400 tu.

Baada ya kula, nilitumia "M-PESA" kwa mara ya kwanza. Inafaa sana. "M-PESA" ni sawa na PayPay. Lakini tunaweza kuitumia mahali popote, wakati wowote.

This is "Nyama Choma" set. Nyama Choma is a very famous grilled meat. We were able to eat it today. What do you think the price is? It's only 400 yen. 

After the meal, I used "M-PESA" for the first time. It is very useful. "M-PESA" is similar to PayPay. But we can use it anywhere, anytime.

Nyama(goat) choma set ↑